Artificial Intelligence sessions
Katika pirikapirika zetu za kila siku nadhani tumewahi kisikia maneno tofauti tofauti kutokana na ujio au mripuko wa masuala ya kiteknolojia kwenye huuhuu ulimwengu wa kidigitali. Je, ulishawahi kusikia kuhusu AKILI BANDIA? Kule nchi za wazungu huita Artificial Intelligence, kama ulisikia je ulilikuwa inahisiana na nini? Na uliisikia ukiwa wapi? Na kama bado basi wewe bado hujachelewa.
Kwa wote sasa kutoka Blacksilver Digital Icon tunakuandalia darasa maalumu kupitia mitandao yetu ya kijamii tukizungumzia kwa undani kuhusu Akili Bandia kuanzia maana mpaka njia za kuja kuitumia kwenye ulimwengu wa kidigtali. Endelea kutufuatilia maana Mazuri kuliko yapo njiani.

Comments