Posts

Ugiriki yahalalisha ndoa za jinsia moja

Image
  Wapenzi wa jinsia moja sasa pia wataruhusiwa kisheria kuasili watoto baada ya kura ya Alhamisi ya 176-76 bungeni. Waziri Mkuu Kyriakos Mitsotakis alisema sheria hiyo mpya "itakomesha kwa ujasiri ukosefu mkubwa wa usawa". Lakini imegawanya nchi, kwa upinzani mkali unaoongozwa na Kanisa la Othodoksi lenye nguvu. Wafuasi wake walifanya maandamano mjini Athens. Wengi walionyesha mabango, walishikilia misalaba, walisoma sala na kuimba vifungu vya Biblia katika Syntagma Square katika mjii mkuu . Mkuu wa Kanisa la Kiorthodoksi, Askofu Mkuu Ieronymos, alisema hatua hiyo "itaharibu mshikamano wa kijamii wa nchi hiyo". Mswada huo ulihitaji wingi wa kura ili kupitishwa katika bunge hilo lenye wabunge 300. Bw Mitsotakis alikuwa ameunga mkono mswada huo lakini akahitaji kuungwa mkono na vyama vya upinzani ili kuupitisha , huku wabunge kadhaa wa chama chake cha mrengo wa kulia wakipinga.

WASIFU WA HAYATI EDWARD LOWASSA

Image
Wasifu wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa by Mzuri Jumaa Edward Lowassa alizaliwa Agosti 26, 1953 katika Kijiji cha Ngarash, Monduli akiwa mtoto mkubwa wa kiume kwa Mzee Ngoyai Lowassa na kuanza masomo yake katika Shule ya Msingi Monduli kati ya mwaka 1961–1967. Kisha akaendelea kwenye Shule ya Sekondari Arusha kwa kidato cha Kwanza mpaka cha nne kati ya mwaka 1968 – 1971, na kisha kumalizia kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Milambo mkoani Tabora. Alijiunga Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 1974 hadi mwaka 1977 na kuhitimu Shahada ya Sanaa katika Elimu (B.A Education) na baadaye Chuo Kikuu cha Bath, Uingereza kwa Shahada ya Uzamili ya Sayansi katika Maendeleo. Baada ya kumaliza chuo kikuu, Lowassa alifanya kazi ndani ya CCM akiwa afisa wa ngazi ya juu kuanzia wilaya, mkoa na baadaye makao makuu kati ya mwaka 1977 hadi mwaka 1989. Lowassa aliwahi pia kutumikia jeshi la Tanzania na hata kupigana katika vita kati ya Tanzani...

Artificial Intelligence sessions

Image
 Katika pirikapirika zetu za kila siku nadhani tumewahi kisikia maneno tofauti tofauti kutokana na ujio au mripuko wa masuala ya kiteknolojia kwenye huuhuu ulimwengu wa kidigitali. Je, ulishawahi kusikia kuhusu AKILI BANDIA? Kule nchi za wazungu huita Artificial Intelligence, kama ulisikia je ulilikuwa inahisiana na nini? Na uliisikia ukiwa wapi? Na kama bado basi wewe bado hujachelewa. Kwa wote sasa kutoka Blacksilver Digital Icon tunakuandalia darasa maalumu kupitia mitandao yetu ya kijamii tukizungumzia kwa undani kuhusu Akili Bandia kuanzia maana mpaka njia za kuja kuitumia kwenye ulimwengu wa kidigtali. Endelea kutufuatilia maana Mazuri kuliko yapo njiani.

In this digital era

Image
 In this digital era we ensure that your business is going to reach my clients as you wish to get through our developed branding and promotion campaign we design to your business. Choose us for the best regards  Creative branding at work 

SINGIDA POA

Image
 SINGIDA POA NI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA MAFUTA HALISI YA ALIZETI KUTOKA SINGIDA KWA BEI YA JUMLA NA REJEREJA. TUNAPATIKANA UBUNGO (MABIBO,MSEWE)  AU PIGA SIMU 0712080205 AU CHATI NASI KUPITIA WHATSAPP 0747480057 TUKULETEE ULIPO.UBORA NA UFANISI NI JADI YETU 🌻.KARIBU TUKUHUDUMIE .

VAA UPENDEZE STORE

Image
Ili kutokea kijanja kwa pamba kali zenye fassion tofauti tofauti iwe za kiofisi , luxury na zinginezo tafadhari tucheki VAA UPENDEZE STORE hakika ukivaa nasi lazima upendeze   

MAASAI LAPTOPS

Image
Modern and High quality laptop with 6000 MAh battery capacity, XII core series (core processor), 16 GB RAM and storage 512 GB SSD. It is smooth, faster and cheeper  

Modern Furnitures

Image
 Modern furnitures

KANKARA GRAPHICS

Image
  For quality services in creating logos, posters, flyers, and calendars, contact Msonga Graphics. We are located in Mabibo, Dar es Salaam

NayNas Furnitures

Image
NayNas furniture we provide bed for your life  have better quality material,  affordable  for everyone. It's best for you book now.  

SAJOPH Insurance

Image
 Get your car insurance 

Dalali tabata

Image
 Ukitaka kuuza na kununua vitu vilivyotumika na vipya mcheki dalali tabata 

Jude company Limited

Image
 Pata samaki wenye ubora wa hali ya juu kwa bei ya kiungwana

TUMAIN THE GREAT TASTY CAKE

Image
Tumaini the great tasty cake is best shop for offering delicious cake for your better health ,your satisfaction is our concern order now freshly baked cake for birthday, anniversary, wedding or party on the same day  

Msuya bodaboda

Image
We value your money , we save your time   

Linda Beauty lotion

Image
 Get the beauty skin by using Linda beauty lotion 

KISESE GROUP RESTAURANT

Image
We are kisese group restaurant from Mabibo Dar es salaam we serve you fresh food but we deliver you any where you found for more information and for order call for number you see on my advert  

Beka cafe

Image
Welcom to our restaurant, where every dish is crafted with care and passion. We believe that food is not just fuel, but an experience to be savored and enjoyed. Come taste differnce for yourself and let us satisfy your cravings. We can’t wait to welcome you to our table.

Branding is our culture

Image
Usiwaze kuhusu kile unachokifanya kwenye biashara yako , uuzaji wa bidhaa au utoaji wa huduma mbalimbali kwenye biashara yako . Uthamani wa matangazo na promosheni tunalitimiza kwa uharaka na ubunifu zaidi.

Best quality products from JR FURNITURES

Image
 JR FURNITURES is a modern carpentry industry concern with designing and manufactures the modern furnitures with the best quality materials. We design the home furnitures such as sitting sofa , and others ,also we design office furnitures like modern tables , chairs, and other clipboards as well as we have the school/college desk design which are so interested with the students with the best quality. Contact us via the info provided in the banner above for more information. Your are most welcome