Posts

Showing posts from August, 2021

Kifuatacho kwenye CP magazine

 03:ABHALANGIRA. Kundi hili ni mjumuisho wa vijana wenye nguvu ambao husaidia kaktika uimarishaji wa ulinzi na usalama kwenye jamii ya Wahaya , kwa kawaida tunawaita askari. Husimamia shughuli za ulinzi na usalama kuanzia kwa kiongozi mkuu yaani Omukama au chifu mpaka kwa raia wote was jamii ya Wahaya. 04: ABHATWAZI. Hawa ni wananchi au raia wapatikanao kwenye jamii ya Wahaya, Hawa ndio wazalishaji na waendeshaji wakuu wa shughuli za kiuchumi Kama kilimo na zingine nyingi. Tunasema serikali ni watu na watu ndio sisi "abhatwazi".